[wanabidii] Maalim Seif azungumzia vurugu za Zanzibar - Mwanzo

Sunday, November 04, 2012
"Nazungumza haya kwa unyonge sana leo, sikufikiria kuwa vitendo hivi vingetokea Zanzibar katika wakati huu tunaotekeleza maridhiano ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa", alieleza Maalim Seif na kuongeza: "Sipendi kuisema serikali yangu na Rais wangu hadharani, lakini inanibidi niseme 'Rais wangu Dkt Shein unatuangusha' kwa kuwa wewe ndiye mwenye jukumu kubwa zaidi la kulinda amani ya nchi hii" alieleza.
http://wotepamoja.com/archives/10024#.UJYNvLMf9wA.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments