Nimeona statement hii imetolewa na mmoja wa wachangiaji katika mtandao mmoja wa jamii baada ya kifo cha ailiyekuwa askofu wa jombo katoliki shinyaka. Askofu Alefariki ni Mhs.Aloyisius Balina.
Ni neno lililosemwa Kamanda Barlo alipouwawa na Majambazi Mwanza
Lilisemwa Daud Mwongosi alipuwawa katikati ya mikono ya polisi
Lilisemwa Kanumba Stephen alipokufa alipokuwa akigombana na Lulu.
Na vifo vingine vingi vinavyotokea ..........
Nakataa kuamini katika mazingira kama hayo hapo juu Bwana anatwaa. Neno hili alilisema Ayubu akidhani ni Bwana ametwaa wakitiu uhalisia ni kuwa shetani ndiyo alifanya uharibifu wote kuanzia mali za Ayubu mpaka vifo vya watoto wake.
Kwa nini tusikubaliane kutamka shetani ametwaa katika mazingira ya mauaji yanapotokea... Mwizi haji ila anaiba, kuchinja na kuharibu...
Fred
0 Comments