[wanabidii] Fwd: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!

Saturday, November 03, 2012


--- On Fri, 11/2/12, didas albert <didasmateru@yahoo.co.uk> wrote:

From: didas albert <didasmateru@yahoo.co.uk>
Subject: Fwd: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!
To: "DAVID MALEBETHO" <davidmalebetho@yahoo.com>, "DAMIAN MUSHI" <daemushi@yahoo.com>, "frank materu" <materufrank@yahoo.com>, "joshua remi" <joshreal06@yahoo.com>, "Justine Kubilu" <jkubilu@yahoo.com>, "peter john" <makawiap@yahoo.com>
Date: Friday, November 2, 2012, 9:56 AM



--- On Mon, 29/10/12, edith kilawe <edithkilawe@yahoo.com> wrote:

From: edith kilawe <edithkilawe@yahoo.com>
Subject: Fwd: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!
To: "deogratius am" <deograms@yahoo.co.uk>, "didas albert" <didasmateru@yahoo.co.uk>
Date: Monday, 29 October, 2012, 0:25



--- On Sun, 10/28/12, Francis Ndumbaro <ndumbarofrancis1968@gmail.com> wrote:

From: Francis Ndumbaro <ndumbarofrancis1968@gmail.com>
Subject: Fwd: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!
To: edithkilawe@yahoo.com
Date: Sunday, October 28, 2012, 9:14 AM



---------- Forwarded message ----------
From: Francis Ndumbaro <ndumbarofrancis1968@gmail.com>
Date: 2012/10/28
Subject: Fwd: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!
To: edithkilawe@yahoo.com




---------- Forwarded message ----------
From: Francis Ndumbaro <ndumbarofrancis1968@gmail.com>
Date: 2012/10/11
Subject: Fwd: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!
To: oscar rutenge <oscarrutenge@googlemail.com>, eligate44@gmail.com, Francis Ndumbaro AOL <ndumbarofrancis@aol.com>, kawaya ngenda <mangenda2002@yahoo.com.au>




---------- Forwarded message ----------
From: Terry Ishabairu <terry.ishabairu@gmail.com>
Date: 2012/10/10
Subject: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!
To: Deo Rutechura <deo.rutechura@foreign.ministry.se>
Cc: Teddy Deo <deoteddy@yahoo.com>, Sylivester Ndagara <ndagarasy@yahoo.com>, Peter Mwaitege <petermwaitege@yahoo.co.uk>, Ishabairu Ones <ishabairuones@yahoo.com>, Francis Ndumbaro <ndumbarofrancis1968@gmail.com>, Evans Chipindi <echipindi@gmail.com>, Ditrick Raphael <ditrick.raphael@yahoo.com>


 
----- Original Message -----
Sent: Tuesday, October 09, 2012 1:51 PM
Subject: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!



--- On Mon, 10/8/12, suzy ukio <suzzyukio@yahoo.com> wrote:

From: suzy ukio <suzzyukio@yahoo.com>
Subject: Fw: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!
To: "Lawrance Sawe" <lawsawe@yahoo.co.uk>, "Sospeter Gitwekere" <spgitwekere@yahoo.com>, "Anna John" <anna_john1@yahoo.co.uk>, "Andreas Rweikiza" <arweikiza-dar@tcrs.or.tz>, "Patricia Msirikali" <pattymsiri@yahoo.com>, "Peter Mwaitege" <petermwaitege@yahoo.co.uk>, "Kellen Maganga" <kellenm_2000@yahoo.com>
Date: Monday, October 8, 2012, 1:54 AM


----- Forwarded Message -----
From: patricia msirikale <pattymsiri@yahoo.com>
To: Mary Stela <mstenya_sunshine@yahoo.com>; suzzy ukio <suzzyukio@yahoo.com>; jose_mwaya@yahoo.com; Neema Malulu <neemamalulu1@yahoo.com>; Elimboto Nkumbi <nkumbielimboto@yahoo.com>
Sent: Friday, October 5, 2012 5:12 PM
Subject: JEHANAMU YA TANZANIA KIBOKO!



MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi. Akaiendea jehanamu ya Ujerumani. Akamwuliza mtu aliyemkuta mlangoni. "Wanakufanyaje ukiingia humu?" Akajibiwa. "Kwanza wanakuweka kwenye kiti cha umeme kwa saa moja, kisha wanakulaza kwenye kitanda cha mizumari kwa saa moja nyingine. Kisha anakuja shetani wa Kijerumani anakucharaza bakora kutwa nzima." Mtu huyo hakuipenda kabisa
jehanamu hiyo. Akaamua kujaribu jehanamu za Marekani, Uingereza, Urusi na nyinginezo nyingi. Lakini akagundua kuwa zote zina
adhabu sawa tu na jehanamu ya Ujerumani.
 
Kisha akaifikia jehanamu ya Tanzania. Akastaajabu kuona kuna foleni ndefu kweli ya watu wakisubiri kuingia humo. Kwa mshangao usiosemekana akauliza, "Jamani kwani humu wanawafanyaje?" Akajibiwa, "Kwanza wanakuweka kwenye kiti cha umeme kwa saa moja, kisha wanakulaza kwenye kitanda cha mizumari kwa saa moja nyingine. Kisha anakuja shetani wa Kitanzania anakucharaza bakora kutwa nzima."
 
Akazidi kustaajabu. Akauliza, "Lakini mbona kinachofanyika humu ni sawa kabisa na kinachofanyika kwenye jehanamu zingine, sasa kwa nini hapa kuna foleni kubwa sana watu wote wanakimbilia huku?" Jamaa mmoja akamshika mkono. Akamvutia pembeni. Akamnong'oneza, "Watu wanakimbilia huku kwa kuwa jehanamu ya Tanzania haina umeme wa uhakika, unakatika katika kila dakika kwa hiyo kiti cha umeme hakifanyi kazi. Halafu pia misumari ilishalipiwa lakini wala haijaletwa na mzabuni kwa hiyo kitanda cha humu ni raha tu kukilalia. Na jambo jingine ni kuwa shetani wa Kitanzania alipokuwa duniani alikuwa mtumishi wa umma. Kwa hiyo ameshazowea kufika ofisini na kusaini kitabu cha mahudhurio na kisha kuondoka zake kwenda kufanya shughuli zake binafsi.
 







--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments