[wanabidii] NAIBU KATIBU MPYA WA CUF Monday, October 08, 2012 Hamad Masoud Hamad ateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) nafasi aliyojiuzuku Ismail Jussa wiki iliyopita. Tunamtakia kil la kheri. Share this : Digg Linkedin Stumbleupon Delicious Tumblr BufferApp Pocket Evernote
0 Comments