MKUU wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amewasweka lumande wanafunzi watatu wa Shule ya Sekondari Kimnyaki kwa kosa la kushinikiza maandamano ya wanafunzi wenzake hadi Ofisini kwake.
Wanafunzi hao waliokamatwa kwa kosa la kuchochochea maandamano hayo ni pamoja na Ezekiel Memiri, Losijaki Lunde, na Meshack Lomunyaki.
http://wotepamoja.com/archives/9880#.UJEVRBFofuo.gmail --
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments