"Natupia hili halafu nawahi kwa 'vigogo wa TRL Mtaa wa
Ohio.'..tehehee..Ni hivi mbona siwaelewi Watanzania wasiopenda kusikia
Bin Lowasa, bin Kikwete, Binti Makinda, Bin Pinda..Masaburi , Mhavile
, Nchimbi, Songambele, nk...nk...wanagombea Uongozi..inakuwa nongwa na
dhambiii..lakini ingekuwa majina hayo ya ukoo ni wanariadha au
wasakata Kabumbu ...au Basketibal .ingekuwa kimyaaa...nauliza hivi
Watanzania tuna matatizo gani na kuanza na Ugonjwa wa unyanyapaa wa
majina yanayoitwa kuwa ya watoto vigogo.. ambao wanioneshe kati
niliowataja nani anamiliki hata kidege kidogo binafsi...? Nimetumiwa
na Mkwe wangu sms ambayo inasambazwa katika mtandao kwa kasi sana
..leo..ati inadai Ukombozi uko CDM...! Angalieni safu ya Wabunge Viti
Maalum CDM ndio mtatanabahi...na kulijua jiji!..! Mbona wako watu ukoo
wao wote ni wanajeshi.., polisi, madaktari, bandari, posta,
wanareli..nk..nk..Huu unyanyapaa bandia na ukome mara moja..!"
Hapa wadau wakaanza kuchangia hoja zao
o
Kassim Ally and 8 others like this.
o
Jacobus Lutegela Kaka Mid SIASA ni maisha ya kila binadamu!
13 hours ago • Like
o
Salma Ali Hassan asante sana anko!!!
13 hours ago • Like
o
Storming Fo Hata mie nashangaa nimeona humu FB Jitu limebeba Bango
kulaani hivyo!!! Nikajiuliza, hivi huyu Mtoto wa Kikwete, wa Pinda, wa
Makamba si Mtanzania??? Huyu hana haki kuwa na Chama cha Siasa?
Huyu, hana haki KUGOMBEA [Si KUTEULIWA kwa sababu BABA ni RAI...See More
12 hours ago • Like
o
Mponda Hamidu Wallahi ni ujinga uliopitiliza ....... Waache tu
12 hours ago via mobile • Like
o
Rashid F Kiyungi Neno Asilimia 110%
12 hours ago via mobile • Like
o
Adeladius Kazimbaya Makwega ha ha ha lakini hii nchi si ya KIFALME
baba mtawala , mtoto mtawala , mama mtawala na mjukuu mtawala ?
12 hours ago • Like
o
Reward Mushayabasa WaTanzania wasiopenda kusikia Bin Kikwete baba....
11 hours ago • Like
o
Ibrahim Samatha Kaka Maez Big Up sana umepasua JIPU
9 hours ago • Like • 1
o
Frank Mdimi Maoni yangu ni kuwa pande zote (CCM na upinzani) zina
matatizo ya msingi yanayofanana. Badala ya kujenga misingi ya uongozi
wa vyama na kitaifa inayowezesha watu kupata uongozi kutokana na uwezo
wa kuongoza kama tukivyojionea Marekani kwa Obama, wako b...See More
5 hours ago via mobile • Like
o
Salma Ali Hassan wakati wanapiga hizi kelele wenzao wanapata tuzo za
kutambuliwa ulimwenguni... au na hii ya Dr Mwele watasema amepewa kwa
vile ni bint fulani?
3 hours ago • Like • 1
o
Midladjy Maez Shukran kwa wachangiaji wote especially kwa Reward
Mushayabasa ..! Marekani kule Jeb Bush, Geroge Bush jr..George Bush
snr..hata wakati wa Kennedy kulikuwa na John, Robert(Bob) na
Edward(Teddy) kuingia katika siasa ni uamuzi mtu kama hamumpendi au
han...See More
about an hour ago • Edited • Unlike • 2
o
Adeladius Kazimbaya Makwega Hoja hiyo inatazamwa katka mtazamo huu
kuwa tunaangalia uwezo wa mtu Mbona Nyerere alimchagua kaka yake kuwa
Mkuu wa Mkoa . lakini sio kila Nyerere ni Kiongozi,anaweza akawepo
mmoja .
about an hour ago • Like • 1
o
Adeladius Kazimbaya Makwega Mbona hatuwaoni na hawapendi kuw walimu,
madaktari, mafundi ujenzi , maafisa habari na manesi lakini siasa tu.
about an hour ago • Like
o
Mengi Ibrah Mabewa tuanze kuwahoji kina mrisho
ngasa,mftah,sureboy,tegete n.k watoto wa vigogo wa soka tujadili
42 minutes ago • Like
o
Gil Jo waseminari "mapadri" waliyaona mapema ukiwa wakwanza au mtoto
pekee wakiume hutakiwi. changamoto iliyopo siyo kuona jina kubwa
kuendelea kukaa nalo kila siku kwenye magazeti. CDM kwao angalau
operesheni sangara ilihama hama.mtuhabarishe ya wenye jina dogo jinsi
wanavyo ukabili mstakabali huu. walau anayetizamawa kilasiku nimwenye
nyumba.
40 minutes ago • Like
o
Salma Ali Hassan Kazimbaya... sidhani kama umefanya uchunguzi kuhusu
watoto wa "vigogo" kutukuwemo kwenye hayo makundi uliyoyataja...
chukua list ya unaowajua, angalia watoto wao WOTE wanafanya shughuli
gani
6 minutes ago • Like
o
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments