[wanabidii] Maalim Seif asema: Muungano wetu ni wa ‘Mkubwa na Mdogo’

Wednesday, October 17, 2012
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad 
amesema  mamlaka kamili ya Zanzibar yatapatikana kwa kila Mzanzibari 
kuhakikisha anaweka mbele mapenzi yake kwa nchi yake na kuweka kando
itikadi ya chama chake cha siasa. 

Share this :

Related Posts

0 Comments