[wanabidii] BREAKING NEWS!!!.................RAIS SHEIN AVUNJA MKTABA NA MHE WAZIRI MANSOUR HIMID!

Monday, October 15, 2012
Monday, October 15, 2012
Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt Ali Mohammed Shein amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi,Dkt Abdulhamid Yahya Mzee imesema katika mabadiliko hayo, Rais Dkt Shein amemteua Shawana Bukheti Hassan kuwa mjumbe wa Baraza la Mapinduzi. Rais Dkt Shein amefuta uteuzi wa mjumbe wa Baraza la Mapinduzi,Mansoor Yussuf Himid.

Share this :

Related Posts

0 Comments