[wanabidii] WAZANZIBARI WAISHIO TORONTO WAILAANI ZANZIBAR !!!

Sunday, September 30, 2012
WAZANZIBARI WAISHIO TORONTO WAILAANI ZANZIBAR !!!
  • Mayor Rob Ford wa Toronto kupelekewa petition
"Wazanzibari wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada, pamoja na vitongoji vyake, kila siku wanakasirishwa sana na kuilaani ZANZIBAR". 
Hayo yalisemwa leo na Bw. Hassan Othman ambae ni Katibu wa ZACADIA. ZACADIA (Zanzibar-Canadian DiasporaAssociation) 
ni Jumuia ya Wazanzibari wanaoishi nje ya Zanzibar katika nchi ya Canada na ni chombo muhimu kinachowaunganisha 
Wazanzibari wote wanaoishi ughaibuni Canada. 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments