[wanabidii] Uchaguzi wa Umeya Mwanza leo: CHADEMA Yateua Wagombea Wake - Mwanzo

Friday, September 28, 2012
KAMATI za Utendaji za Chama cha Demokrasia naMaendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nyamagana na Ilemela katika vikao tofautikwa kushirikiana na kamati za madiwani katika kila wilaya husika, zimekamilisha mchakato wa kupata wagombea wa nafasi za umeya na naibu meya, Halmashauri ya Jijila Mwanza na Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.
http://wotepamoja.com/archives/7529#.UGU6XpGIG2c.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments