[wanabidii] Kamanda Michael Kamuhanda mbona hapandi gari la RPC Iringa

Saturday, September 29, 2012
Kwa muda sasa mara baada ya tukio la mauwaji wa mwanahabari Daud
Mwangosi, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda
amekuwa adimu sana kuonekana katika gari lake maalumu la RPC wa
mkoa huu.

Hivi sasa limekuwa likionekana likipita bila mhusika anatakiwa
kubebwa kuonekana humo. "mbona Kamanda Kamuhanda hapandi gari la
RPC wa Iringa"anauliza mdau mmoja.

Katika kautafiti kadogo kalichofanya kwa juma moja na nusu gari la
RPC huyo si jioni wala asubuhi limekuwa likionekana na dereva tu
anayeendesha mwenyewe bila ya kuwepo mkuu wa kazi ambaye ndiye
RPC.

Huku mitaani watu wakiumana sikio kuwa ah pengine Mh RPC wa Iringa
anaogopa ata kuonekana kwa watu mara baada ya tukio hilo. Wengine
wakisema aha jamani yule ni kamanda jamani haogopi kitu pengine
kasafiri tu.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments