Staff mailing list
Staff@tgnp.org
http://tgnp.org/mailman/listinfo/staff_tgnp.org

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII
Richard Mabala na timu ya TAMASHA WATAWASILISHA
MADA Katiba na Mtazamo wa Vijana Juu ya Huduma za Jamii, Ushiriki Katika Jamii na Upiganiaji Haki Zao: Matokeo ya utafiti wa TAMASHA
Lini: Jumatano Tarehe 5/9//2012
Muda: Saa 09
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 Comments