"ONLY IN TANZANIA!Yapo Maajabu mengi sana...Ila Maajabu Makuu Yaliyopo Tanzania ni Haya hapa;1. Mmoja wa Majaji Walioteuliwa kwa Mujibu wa Tundu Lissu Kumbe ndokwanza anasoma shahada so darasani nae anasoma"What is Law of Torts" then anapata SUP...U can Only find in TZ....afu mwalimu wake ni advocate inakuwaje akimpelekea kesi Jaji wa aina hiyo??2. Serikali Makini ambayo sio dhaifu ina Watumishi Hewa 9,949wanaopata Mshahara ambao Jumla ya hela inayopotea ni kama Bil 70ambazo zingetumika kulipa Madaktari na walimu, lakini Serikaliinasema haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na Madaktari ilawanazo za Watumishi hewa...Only u can find in TZ.3. Serikali Ya Uingereza Ilirudisha Chenji ya RADA, Serikali ikasemahela inapeleka Kununulia Vitabu kwa Ajili ya Shule Nchi nzima, Kumbe Kampuni iliyopewa tenda ya Kusambaza Vitabu nchi nzima ilitoa rushwa ya US$ 500,000 kupata tender Serikali ya Uingereza imeifungia miaka 7, You Can Only find in TZ.4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba get me well waliofaulu darasala 7 kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeliWatakuwa hawajui kufanya nini??...You Can Only Find In Tanzania5. Washiriki wa Michezo ya Kimataifa (sijataja Mchezo walamashindano) wako watano (5) lakini wanaowasindikiza Washiriki wako 12 You can Only find in Tanzania......6. Sehemu Pekee ambaye Mtu uliyetaka Kumdhuru kwa Kukusumbua thenunaomba Umlinde (refer to Dr. Ulimboka's Case)..Yaani Mbwa Mwituanaomba kazi ya Kulinda Mbuzi......You Can Only find in Tanzania..7.Only in Tanzania serekali inaweza kabisa kulipisha watu ushuru wa sticker ya fire Bila kuuliza kama una huo mtungi wa kuzimia moto wala kukagua gari wala kukupa hiyo sticker Na wananchi wake wakakubali na kunyamaza tu.8. Only in Tanzania hata rais hajui ni kwanini raia wake ni masikini?Yapo Maajabu Mengi sana Lipi nimesahau???" Ongezea MoyoniI thank you.
______________________________________________________________________
or copying of this message is strictly prohibited and sanctioned by law
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments