Watakuwepo:
MLUGALUGA &
MLUNGWANA
(Komedi)
TIA MAJI TIA MAJI
(Ngoma)
PAA (Present as absent.)
(Mziki)
NA, MAONYESHO YA VIPAJI VYA WASHIRIKI
TAREHE: IJUMAA, SEPTEMBA 7
MAHALI: MKAHAWA WA VITABU SOMA (Kitalu 53 Mlingotini Close, Mtaa wa
Regent, Regent Estate-Mikocheni A)
MUDA: SAA 1 JIONI - SAA 3 USIKU
KIINGILIO NI BURE, MICHANGO YA HIARI INAKARIBISHWA
Vinywaji na vitafunwa vitapatikana kaunta
Kwa wapenzi wa michezo ya mezani(Scrabble, Chess, Monopoly, Bao,
Cards, etc) wahi ucheze kabla ya onyesho..
Karibuni Sana...
_______________________________________
We are back this Friday...
4th VUNJA MBAVU COMEDY NIGHT
Featuring:
MLUGALUGA &
MLUNGWANA
(Stand-up Comedy)
TIA MAJI TIA MAJI
(Traditional Dance)
PAA (Present as absent.)
(Live Music)
AND, AUDIENCE JAM SESSION
DATE: FRIDAY 7th SEPT 2012
VENUE: SOMA BOOK CAFÉ (Plot 53 Mlingotini Close, off Regent Street,
Regent Estate-Mikocheni A)
TIME: FROM 7 PM – 9:00
FREE ENTRANCE BUT DONATION WILL BE APPRECIATED.
Open Cash Bar: Snacks, Drinks, Tea, Coffee and much more
Lovers of Board Games (Scrabble, Chess, Monopoly, Bao, Cards, etc)
come early for a round or two..
Karibuni Sana...
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments