[wanabidii] SHUKURANI BAADA YA MSIBA WA SHANGAZI YANGU JANE SEMSHITU MSANGI

Thursday, August 30, 2012
Ndugu zangu na marafiki wote;

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kutoka moyoni mwangu wote mlioshiriki kwa njia moja au nyingine kutufariji na kutukumbatia wakati wa MSIBA MKUBWA wa shangazi yangu.

Nawashukuru wote kwamshikamano mliotuonyesha na familia nzima tumefarijika kwakujitoa kwenu kwa njia mbalimbali hadi kumpumzisha shangazi yetu kwenye nyumba yake ya milele.

Mungu awabariki nakuwazidishia nakujaza pale palipopungua nakuongeza zaidi na zaidi.
Familia nzima ipo nanyi natunawapenda nakuwaheshimu sana.

Mwisho, Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya shangazi yetu JANE SEMSHITU MSANGI. Ameni.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments