Wakati Serikali ikisisitiza kuwa sensa ni lazima, vyombo vya habari vya kiislam, vinashiriki kuipinga ,redio zimekuwa zikifanya hivyo na hata leo siku mbili kabla ya sensa magazeti yote ya kiislam yametoka nahabari zinazolenga kuikwamisha lakini hatujasikia serikali ikichukua hatua kama za Mwanahalisi.
kwa kuwa sirikali inasema itamshughulikia mtu yeyote atakayekwamisha Sensa nitashangaa kama magazeti ya leo hayatapewa onyo au kuchukuliwa hatua yoyote.
0 Comments