Kuna habari kuwa waziri mkuu wa zamani wa uingereza anakuja malawi mwishoni mwa mwezi huu wa nane katika kipindi ambacho Tanzania na Malawi wanatofautiana kauli za mipaka ya nchi, kutembelewa na viongozi wastaafu siyo tatizo, mi najiuliza kwanini aje kipindi ambacho Tanzania wanashutumu kuwa ndege za kampuni la uingereza zinafanya utafiti wa mafuta kwenye mipaka /aridhi ya Tanzania hadi kufikia baadhi ya viongozi wa tanzania kutoa kauli mbalimbali za kiusalama. na baadhi ya wananchi wakijaribu kufika mbali kuwa huenda kuna nguvu ya nje ndiyo inaipa kiburi malawi na kudai ziwa nyasa ni la malawi hakuna sehemu ya Tanzania.
Naomba nitoeni wasiwasi wa ujio wa huyu mstaafu wa Uingereza katika kipindi hiki cha nchi hizi mbili kutishiana mipaka
Habari za ujio wake katika linki hii.
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments