SONG: UHURU WA HABARI KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU
Wimbo wa Uhuru wa Habari (Freedom of the press) kutoka kwao katika makao yao kule Ujerumani
Bendi ya Ngoma Afrika inatambua mchango wa wanahabari na vyombo vya habari pamoja na changamoto za kazi zao.
Ngoma Africa Band inawapongeza wanahabari wote na kukutakieni kila
la heri katika siku ya uhuru wa habari.
Ngoma Africa band imepakua jikoni wimbo huu; Utunzi na Uimbaji wake
la heri katika siku ya uhuru wa habari.
Ngoma Africa band imepakua jikoni wimbo huu; Utunzi na Uimbaji wake
Kamanda Ras Makunja akishirikiana na mpiga solo gitaa Afande Mshenzi Chris-B, na kikosi kizima cha Ngoma Africa Band kikisindikiza kwa mdundo mkali.
Song hili hapa:
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments