[wanabidii] HONGERA LISSU

Sunday, March 19, 2017
 
 Mhe. Tundu Lissu.

 Tafadhali pokea pongezi zangu za dhati  kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS). 
 Mungu akutangulie katika  majukumu yako mapya ya kupigania haki za wananchi wa Tanzania kupitia TLS.
 

Share this :

Related Posts

0 Comments