[wanabidii] SIMU FEKI

Friday, September 30, 2016
Bhandugu habari ya jioni?
Naomba kujua issue moja, kuhusu suala la simu feki.
Je TCRA kuna control yoyote imewekwa ili kudhibiti uingiaji wa simu feki katika soko la Bongo?
Au litakuwa suala la kudhurumiana fedha kila baada ya muda i.e. kuendelea na issue ya kuzima feki kila wakati.
 
Reuben

Share this :

Related Posts

Previous
Next Post »
0 Comments