[Mabadiliko] MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG: ' Born Again Pagan' Akumbushia Ya Miaka Baada Ya Uhuru..

Sunday, September 18, 2016


Na Rommel Z. Mauma (a.k.a Born Again Pagan, Septemba 17, 2016

Born Again Pagan BAP, New York,

"Ili mwanadamu uyaelewe yanayotokea leo na upate mwanga wa kitakachotokea kesho, ni muhimu ukae- lewa kilichotokea jana." Maggid Mjengwa

NIMEANZA na yaliyoandikwa na Mwenyekiti wa Kijiji chetu (Bwana Bwana Maggid Mjengwa) hivi majuzi wakati akikumbuka Makamu wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzíbar, hayati Aboud Jumbe. Mwenyekiti wetu huyo, ambaye kwa dhamira au utashi wake wa hali juu ya kisiasa (the highest personal political will), tutaadhimisha kwa heshima, furaha na hongera nyingi za dhati Miaka 10 ya Kuzaliwa kwa Kijiji chetu hiki hapo Jumatatu tarehe 19, mwezi huu.

Mara nyingi, nimechangia mawazo yangu hapa kijijini nikitumia jina la uandishi tu, Born Again Pagan au BAP, kwa ufupisho. Niliwahi kueleza kisa cha jina hilo.

Katika Kuadhimisha Miaka 10 ya Kijiji chetu, naandika makala yenye kukidhi ahadi zangu kwa Mwenyekiti wetu. Moja, kuhusu mfululizo wa makala za maisha yetu ya ujana hapo Mlimani (1966-1970), Mwenyekiti amekuwa akiniomba nimtumie angalau baadhi ya picha zetu; nimefanikiwa kuokoa picha mbili. Sababu ya kuweka hapa hizo picha mbili ni kwamba ... Soma zaidi..http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/27827-miaka-kumi-ya-mjengwablog-born-again-pagan-akumbushia-ya-miaka-baada-ya-uhuru.html#.V97cZfkrLIU

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at https://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye71yqMpCqLBj6Osic6yAekNfadwOFSFdwGnjaRfk-rSHg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments