- Benki ya NMB yasaidia milioni 1o kwa familia ya mapacha wanne
- [caption id="attachment_73239" align="aligncenter" width="992"]<img class="size-full wp-image-73239" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0896.jpg" alt="Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akimkabidhi baba wa watoto pacha wanee, Abednego Andrew Mafuluka mkazi wa Kimara Mwisho, Dar es Salaam mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni msaada kwa mapacha hao wanne. Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi cha shilingi milioni 10, kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Wa pili kulia ni mama mzazi wa mapacha hao, Sara Dimosso akiwa kabeba watoto wake huku akisaidiwa na nduguye." width="992" height="638" /> Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akimkabidhi baba wa watoto pacha wanee, Abednego Andrew Mafuluka mkazi wa Kimara Mwisho, Dar es Salaam mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni msaada kwa mapacha hao wanne. Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi cha shilingi milioni 10, kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Wa pili kulia ni mama mzazi wa mapacha hao, Sara Dimosso akiwa kabeba watoto wake huku akisaidiwa na nduguye.[/caption]
-
- [caption id="attachment_73237" align="aligncenter" width="939"]<img class="size-full wp-image-73237" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0889.jpg" alt="Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akimkabidhi mama mzazi wa watoto wanne mapacha, Sara Dimosso (kulia) mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni msaada kwa watoto mapacha wanne aliojifungua hivi karibuni. Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Katikati ni baba wa watoto pacha wanee, Abednego Andrew Mafuluka akishiriki kupokea msaada huo." width="939" height="592" /> Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akimkabidhi mama mzazi wa watoto wanne mapacha, Sara Dimosso (kulia) mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni msaada kwa watoto mapacha wanne aliojifungua hivi karibuni. Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Katikati ni baba wa watoto pacha wanee, Abednego Andrew Mafuluka akishiriki kupokea msaada huo.[/caption]
-
- [caption id="attachment_73238" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-73238" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0894.jpg" alt="Mama mzazi wa watoto mapacha wanne, Sara Dimosso (kulia) pamoja na mume wake, Abednego Andrew Mafuluka (katikati) wakipiga picha ya pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 iliyokabidhiwa na Benki ya NMB ikiwa ni msaada kwa watoto mapacha wanne aliojifungua hivi karibuni. Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi mara baada ya kuwakabidhi, Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. " width="800" height="597" /> Mama mzazi wa watoto mapacha wanne, Sara Dimosso (kulia) pamoja na mume wake, Abednego Andrew Mafuluka (katikati) wakipiga picha ya pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 iliyokabidhiwa na Benki ya NMB ikiwa ni msaada kwa watoto mapacha wanne aliojifungua hivi karibuni. Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi mara baada ya kuwakabidhi, Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye.[/caption]
-
- [caption id="attachment_73240" align="aligncenter" width="886"]<img class="size-full wp-image-73240" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0899.jpg" alt="Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakiwa katika picha na familia ya Bwana na Bibi Abednego Andrew Mafuluka pamoja na watoto wao mapacha wanne mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya msaada. " width="886" height="542" /> Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakiwa katika picha na familia ya Bwana na Bibi Abednego Andrew Mafuluka pamoja na watoto wao mapacha wanne mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya msaada.[/caption]
-
- [caption id="attachment_73241" align="aligncenter" width="1000"]<img class="size-large wp-image-73241" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0911-1024x629.jpg" alt="Bwana Abednego Andrew Mafuluka (katikati) akizungumza kuishukuru Benki ya NMB baada ya kuguswa na kuamua kuwasaidia watoto wao mapacha wanne. " width="1000" height="614" /> Bwana Abednego Andrew Mafuluka (katikati) akizungumza kuishukuru Benki ya NMB baada ya kuguswa na kuamua kuwasaidia watoto wao mapacha wanne.[/caption]
-
- [caption id="attachment_73242" align="aligncenter" width="895"]<img class="size-full wp-image-73242" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0926.jpg" alt="Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akizungumza kuelezea namna Benki ya NMB ilivyoguswa na kuamua kuwasaidia watoto hao mapacha wanne waliozaliwa pamoja." width="895" height="625" /> Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akizungumza kuelezea namna Benki ya NMB ilivyoguswa na kuamua kuwasaidia watoto hao mapacha wanne waliozaliwa pamoja.[/caption]
-
- [caption id="attachment_73243" align="aligncenter" width="905"]<img class="size-full wp-image-73243" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0948.jpg" alt="Mama mzazi wa watoto mapacha wanne, Sara Dimosso (kulia) pamoja na mume wake, Abednego Andrew Mafuluka akizungumza kuishukuru Benki ya NMB kwa kuwasaidia shilingi milioni 10 iwawezeshe katika malezi ya watoto hao." width="905" height="670" /> Mama mzazi wa watoto mapacha wanne, Sara Dimosso (kulia) pamoja na mume wake, Abednego Andrew Mafuluka akizungumza kuishukuru Benki ya NMB kwa kuwasaidia shilingi milioni 10 iwawezeshe katika malezi ya watoto hao.[/caption]
-
- [caption id="attachment_73244" align="aligncenter" width="996"]<img class="size-full wp-image-73244" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0958.jpg" alt="Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakiwa katika picha na familia ya Bwana na Bibi Abednego Andrew Mafuluka pamoja na watoto wao mapacha wanne mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya msaada. " width="996" height="553" /> Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakiwa katika picha na familia ya Bwana na Bibi Abednego Andrew Mafuluka pamoja na watoto wao mapacha wanne mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya msaada.[/caption]
- KAWAIDA:_
- Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akimkabidhi baba wa watoto pacha wanee, Abednego Andrew Mafuluka mkazi wa Kimara Mwisho, Dar es Salaam mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni msaada kwa mapacha hao wanne. Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi cha shilingi milioni 10, kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Wa pili kulia ni mama mzazi wa mapacha hao, Sara Dimosso akiwa kabeba watoto wake huku akisaidiwa na nduguye.
- Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akimkabidhi mama mzazi wa watoto wanne mapacha, Sara Dimosso (kulia) mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni msaada kwa watoto mapacha wanne aliojifungua hivi karibuni. Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Katikati ni baba wa watoto pacha wanee, Abednego Andrew Mafuluka akishiriki kupokea msaada huo.
- Mama mzazi wa watoto mapacha wanne, Sara Dimosso (kulia) pamoja na mume wake, Abednego Andrew Mafuluka (katikati) wakipiga picha ya pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 iliyokabidhiwa na Benki ya NMB ikiwa ni msaada kwa watoto mapacha wanne aliojifungua hivi karibuni. Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi mara baada ya kuwakabidhi, Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye.
- Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakiwa katika picha na familia ya Bwana na Bibi Abednego Andrew Mafuluka pamoja na watoto wao mapacha wanne mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya msaada.
- Bwana Abednego Andrew Mafuluka (katikati) akizungumza kuishukuru Benki ya NMB baada ya kuguswa na kuamua kuwasaidia watoto wao mapacha wanne.
- Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akizungumza kuelezea namna Benki ya NMB ilivyoguswa na kuamua kuwasaidia watoto hao mapacha wanne waliozaliwa pamoja.
- Mama mzazi wa watoto mapacha wanne, Sara Dimosso (kulia) pamoja na mume wake, Abednego Andrew Mafuluka akizungumza kuishukuru Benki ya NMB kwa kuwasaidia shilingi milioni 10 iwawezeshe katika malezi ya watoto hao.
- Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakiwa katika picha na familia ya Bwana na Bibi Abednego Andrew Mafuluka pamoja na watoto wao mapacha wanne mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya msaada.
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments