Ndugu zangu,
Chui wa Mobutu walikuwa wa kwanza Afrika kuwavaa Brazil...!
Ni timu ya taifa ya Zaire, sasa DR Congo. Ni world cup ya 1974 Ujerumani.
Pichani mabeki Mwepu Ilunga na Boba Lobilo wakimkabili mshambuliaji Edu wa Brazil. Ukiiangalia jezi ya Edu utaona ina nyota tatu. Kwenye jezi ya Brazili nyota huwa na maana ya idadi ya makombe ya dunia waliyotwaa. Kwa sasa jezi ya Brazil zinasomeka nyota tano...!
DR Congo kutokana na historia ya kuwa koloni la Ubelgiji imetokea kuwa na wachezaji wengi wenye asili ya Congo kucheza Ubelgiji.
Unaweza kusoma hapa makala yenye kuchambua hili niliyopata kuandika kwenye mtandao wa mabloga wa Afrika.
http://www.africablogging.org/congolese-diaspora-are-behind-belgium-success/m
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments