[wanabidii] KUTENGANISHA URAIS NA UENYEKITI WA CCM: KWA MANUFAA YA NANI?

Thursday, June 16, 2016
Vyombo vya habari vimewanukuu watu kadhaa wakitaka Rais Mstaafu JK asikabidhi uenyekiti wa CCm kwa Rais Magufuli. Baada ya kubaini kuwa Kikwete hana nia ya kuendelea kuushikilia uenyekitihuo mapendekezo yameanza kujitokeza kuwa nafasi hizo zitenganishwe.
Nakumbuka kuisikia sauti ya mtu makini akisema ''Kwa sababu Magufuli aliingia kwa populality yake sio ya CCM basi asikabidhiwe uenyekiti ili watu wasije kumkataa kwa sababu ya CCM'' akimaanisha kuwa watu hawaitaki CCM. ''Wakigundua'' kuwa ana uhusiano na CCM watamkataa. Nilijaribu kuyapima mawazo yake nikaona hafanani nayo. Nani hajui kuwa Magufuli kaupata urais kupitia CCM? Anaendelea mchambuzi huyo kuwa Magufuli aachwe kuendelea kuirekebisha Serikali.
Mimi sikumuelewa kwa sababu Kama magufuli anarekebisha Serikali na kuleta nidhamu, kwa nini mchambuzi huyu anataka CCM isirekebishwe na Magufuli? Anatarajia 2020 Magufuli atagombea kupitia Chama gani? CCM inayokata;liwa au iliyokwisha rekebishwa.

Wat wote hata wana CCM kama mimi tuliupa ushindi CCM katika ngazi mbalimbali hasa urais kwa sababu CHADEMA ilipoteza mwelekeo na kwa sababu tuliamini Magufuli anaweza kurekebisha mambo. Wananchi wanamkubali Magufuli ngazi ya Serikali na anasubiriwa kuirekebisha CCM. Wanaoona Magufuli anahitaji msaada basi wamuandalie mamakamu makini ili wamsaidie kukirekebisha Chama.
Ikitokea CCM ikamnyima magufuli uenyekiti wa CCm kwa mapendekezo mengine yanayoonekana kutolewa na wafanyabiashara itakuwa ni mbinu za maafisadi kuendelea kukimiliki chama chetu na hii itakiumiza chama kuliko magufuli. CHADEMA inahitaji masahihisho kidogo (kama CCM itaendelea kuwakumbatia mafisadi) kuweza kuirudia heshima yake iliyopotea machoni mwa wananchi wanyonge.
CCM Chunga hapo.
Elisa Muhingo
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments