[wanabidii] WAINGEREZA NA WAMAREKANI KUVUTIWA NA UTENDANI WA MAGUFULI: LAZIMA KWENDA NAO KWA TAHADHARI.

Monday, May 16, 2016
Muhingo,hawa watu hasa USA walishaanzisha mikakati ya kurubuni viongozi watarajiwa na wanaoibukia hasa vijana siku nyingi. Kumbuka mualiko Marekani iliyofanya kwa Young Leaders from Africa,sikumbuki tarehe lakini Wanaita Young African Leaders Initiative , Mandela Fellowship! Marekani iliwaalika , wakiwemo baadhi ya vijana na mawaziri wa JK!

Serikali makini inatakiwa kuwa macho sana na waalikwa wote wa hizi fellowship na scholarships za 'Good Governance' nk! Yumkini malengo yake ni zaidi ya yaliyo makaratasini.
Hatujui wangapi kati yao walishakuwa 'inducted' for foreseable future!



Wenye macho na maono ,washaona. Bahati mbaya tupo baadhi yetu tunaburuzwa kwa miavuli ya demkorasia,lakini wenzetu wana ajenda za ziada ,mawazo yetu siku zote huendeshwa kimisimu badala ya kimikakati!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments