[wanabidii] Kilichojiri mkutano wa East Africa Oil and Gas Summit 2016: Bosi wa TOTAL azidi kupigilia msumari

Friday, April 01, 2016



[​IMG]
TOTAL General Manager- Adewale Fayemi

Katika mkutano mkubwa ''Summit'' uliofanyikia hapa Dar es salaam tarehe 30-31 March 2016,yaani jana, uliozungumzia masuala yote nyeti yahusuyo mafuta na gesi Afrika mashariki mkuu wa kampuni ya mafuta ya TOTAL hakutaka kumumunya maneno.

Adewale Fayemi kasisitiza msimamo alionao mbele ya waandishi wa habari kuwa bomba la mafuta litaanza kujengwa kuanzia Hoima-Uganda mpaka Tanga, tena ndani ya muda.
Adewale Fayemi ndio msimamizi mkuu wa shughuli zote za TOTAL nchini Uganda na afrika mashariki.
Hii ni nukuu yake..
'"As a company, our position remains that we are going through Tanga. I understand there are issues being discussed but our position remains the same," ..
Msimamo wake ni dhahiri na kautoa akiwa hapa Dar.

Katika hali inayoonyesha dalili za kukata tamaa katibu mkuu wa wizara ya nishati wa Kenya Joseph Njoroge katolea ufafanuzi msimamo wa Kenya akiwa katika mkutano huu kuwa kama Uganda watajenga bomba kuelekea Tanga wao Kenya hawatakubali, lazima watajenga bomba kuelekea Lamu.

Kasema Uganda watake wasitake bomba litajengwa ,na Kenya wako tayari kulijenga peke yao, bila kushirikiana na Uganda.
"We will build an oil pipeline, whether we are together with the Ugandans or not."

Raisi Kenyatta na Museveni wanakutana wiki ijayo mjini Kampala kuendeleza mazungumzo ya ujenzi wa bomba hili.
=========================================
Uganda crude oil pipeline should go the Tanga way, says Total boss.
Total E&P Uganda has affirmed its commitment to construct the $4 billion crude oil pipeline through Tanga despite ongoing talks between Kenya and Uganda to have it pass through here.

The company's general manager Adewale Fayemi said at the two-day East Africa Oil and Gas conference in Tanzania.

"As a company, our position remains that we are going through Tanga. I understand there are issues being discussed but our position remains the same," Fayemi said.

He said all available options have been carefully considered and the firm is more interested in the Tanga route, which will be cheaper for oil production.

Total is UK Tullow Oil's partner in the Ugandan oil fields and the main financier of the operations. China National Offshore Oil Companies is also a partner.

The firms are eyeing production of an estimated 6.5 billion barrels of Uganda's crude oil by 2018.

The routes that could be explored by Kenya and Uganda in construction of the crude oil pipeline are; the southern route through Nairobi from Uganda to Mombasa and the northern one through Hoima, Lokichar Lamu.

Uganda and Tanzania, on the other hand, could construct the pipeline from the Albertine basin in western Uganda to the port of Tanga.

GO IT ALONE

Energy Principal Secretary Joseph Njoroge, however, said that if all fails, Kenya could go it alone on the crude oil pipeline; "We will build an oil pipeline, whether we are together with the Ugandans or not."

Total's stand on the issue comes as President Uhuru Kenyatta considers negotiating for the Lamu route through his host President François Hollande during his April trip to France.

Link Daily Nation Kenya.
Uganda crude oil pipeline should go the Tanga way, says Total

5th Annual East Africa Oil and Gas Summit 2016 | Interfax Global Energy

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments