[wanabidii] UJUMBE KUTOKA KWA BI. IRINA BOKOVA, MKURUGENZI MKUU WA UNESCO, KATIKA SIKU YA USHAIRI DUNIANI, 21 MACHI 2016

Monday, March 21, 2016
Habari za asubuhi,

Tafadhali pokea CODES hapa chini.

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Bi. Irina Bokova.

Shakespeare, mwandishi maarufu kutoka Uingereza aliyefariki yapata miaka 400 iliyopita, aliandika katika tamthilia yake inayojulikana kama "A Midsummer Night's Dream" kuwa, "Jicho la mshairi, hutazama kwa umakini na undani, kutoka mbinguni hadi duniani, na duniani hadi mbinguni. Na kama vitu vya kufikirika vusivyofahika vinavyoumbika katika mawazo, ndivyo kalamu ya mshairi inavyogeuza mawazo hayo kuwa katika maumbo yasiyoweza kudhaniwa"

Kwa kuwatambua na kuwaheshimu wanaume na wanawake, ambao chombo chao pekee ni uhuru wa kujieleza, watu wanaofikiria na kuchukua hatua, UNESCO inatambua thamani ya ushairi kama ishara ya ubunifu wa mwanadamu. Kwa kutoa umbo na maneno kwa mambo ambayo katika hali ya kawaida hayakuwa nayo, kama vile uzuri usiopimika unaotuzunguka na mateso na taabu kubwa za dunia, mashairi yanachangia upanuzi wa ubinadamu wetu, kwa kusaidia kuongeza nguvu za ubinadamu wetu, mshikamano na kujitambua.

Sauti zinazobeba ushairi husaidia kukuza upana na utofauti wa lugha na uhuru wa kujieleza. Sauti hizi hushiriki katika jitihada za kimataifa kuelekea elimu ya kisanii na usambazaji wa utamaduni. Wakati mwingine, neno la kwanza la shairi latosha kabisa kurejesha kujiamini pale mtu anapokuwa anakabiliwa na upinzani na kupelekea kuiona tena njia ya matumaini pale unapopambana na unyama. Katika zama hizi za teknolojia na uharaka wa maisha ya kisasa, ushairi hufunya nafasi kwa ajili ya uhuru na kuvinjari, hali iliyo ndani ya utu wa mwanadamu. Kutoka Arirang za huko Korea hadi Pirekua za Mexico, nyimbo za Hudhud za jamii ya watu wa Ifugao, Alardah za Saudi Arabia, Koroghlu za jamii ya watu wa Turkmenistan na maeneo ya Iran na Afghanistan, na Aitysh za watu wa Kyrgyz, kila utamaduni una aina ya sanaa yake ya ushairi inaoutumia kupeleka na kusambaza maarifa, maadili ya kijamii na kiutamaduni na kumbukumbu za pamoja, ambayo huimarisha kuheshimiana, mshikamano wa kijamii na kutafuta amani.

Leo hii, nawapongeza washairi, wasanii, waghani, na wale wote ambao sauti zao, bila ya wao wenyewe kujulikana, wamejitoa, kwa na kupitia ushairi, kutoa masomo katika hali ya taswira au ya uwazi, katika bustani au katika mitaa. Ninatoa wito kwa nchi wanachama wote wa UNESCO kuunga mkono juhudi hizi za ushairi, ambao una uwezo wa kutukusanya pamoja, bila kujali asili au imani, kwa lile lililo hasa katika kiini cha ubinadamu

KAWAIDA

The-director-general-of-UNESCO-Irina-Bokova

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments