[wanabidii] MWALIMU WA KARATE NA YOGA SENSEI RUMADHA FUNDI KATIKA WARM UP !

Friday, February 12, 2016








MTALAMU WA KARATE NA YOGA SENSEI RUMADHA FUNDI KATIKA WARM UP !

Mwalimu wa michezo ya Karate na Yoga anayetambuliwa na shirikisho la kimataifa la michezo hiyo mtanzania Sensei Rumadha Fundi mwenye Black Belt na Dan 6 toka Tanzania Karate Federation( TKF), na Dan 3 toka Okinawa Goju Ryu,Japani,Sensei Rumadha Fundi ambaye makao yake yapo kule Auston,Marekani akiwa anaupasha moto mwili (warm up ) katika mazoezi yajulikanayo kama "Double Shotei Tsuki" practice.
 (onyo tafadhali usijaribu kuiga au kufindisha maozezi haya mtaani au popote bila ya kuwa na utaalamu)



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments