[Mabadiliko] AJALI YA MUHEZA: DAMBAYA KAPOTEZA NDUGU WATATU?

Thursday, February 11, 2016
Ndugu, nimepata taarifa kuwa ajali ya basi la Simba Mtoto iliyotokea mkoani Tanga, miongoni mwa waliofariki ni mke, mtoto na mama mkwe wa Mwandishi Habari na Mhariri wa Mlimani TV, Hamis Dambaya. Je kuna ukweli wowote kuhusu hilo?

Mwenye taarifa atujulishe kwa maana ni mshtuko mkubwa sana.

Mashaka Mgeta

Share this :

Related Posts

0 Comments