[wanabidii] Ya mkapa yananifundisha tujifunze kuongea kwa utafiti

Thursday, November 05, 2015
Sidhani kama nitakuwa na huruma ya kumfikilia mtu anayeingia jela kwa makosa ya kutumia mitandao ya kijamii kwa kuzushazusha. Habari zilitapakaa kuwa Rais wa awamu ya tatu amefariki na leo anaonekana ni mwenye afya nzuri tu maana anapanda ngazi kama anashuka. TCRA FANYENI KAZI YENU ME NAWAUNGA MKONO, MIGUU, KICHWA MPAKA KIWILIWILI.

Share this :

Related Posts

0 Comments