"Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi zao, na kuiponya nchi yao". [2 Nya 7:14]
MAHALI : Dar es Salaam, Kimara Temboni -Mtaa wa Upendo
UKUMBI: ACMTC – Makutano ya Barabara ya Moa na Umoja
MNENAJI: Mwl. Frank Materu na wengine
SIKU : Alhamisi 5/11/2015
MUDA: Saa 4:00 Asubuhi hadi Saa 10:00 Jioni
MADA: Jinsi ya kurejesha Haki na Amani katika nchi
MAWASILIANO: 0715 350 752 au 0754 350 752
KIINGILIO: Bure-Wote Mnakaribishwa
TOVUTI:
0 Comments