Ameitisha Bunge. limeanza kuwepo. Kihalali waliokwisha apa ndio wabunge halali. Wengine ni wabunge wateule.
Sijui mmoja akikataa kuapa au akaweka sharti katika kiapo ataitwaje?
Lakini kuna mambo yanasemwa semwa na kusomwa somwa.
1) Mija ni hili la kikundi fulani kutengeneza mazingira ambayo yatamzuia rais kuapa.
2) Ni hizi kuwa wanasayansi fulani waliobobea wamefanikiwa kuiba hotuba ya rais atakayoihutubia bunge na wameishaandika kuwa ina ahadi zisizotekelezeka.
Hili la pili nalipima silielewi? Unajua mtu akija na mbinu mpya ya kuchimba dhahabu tutamsifu kwa sababu amegundua jambo la kuwasaidia watanzania. Mtu akija na habari kuwa kuna meno ya tembo yanatoroshwa nchini au dhahabu au kama hayo mengine tutamsifu kuwa mwandishi makini wa uchunguzi na uchunguzi wake una manufaa kwa taifa hili.
Sasa huyu mgunduzi aliyegundua hituba ya rais ambayo kwa vyovyote vile rais araisoma hadharani anataka tumshangilie kuwa anafaida gani kwa taifa hili?
kama aliweka jina lake kwenye gazeti itamfaa akijisikia vibaya kuwa hana maana kumbe. Uchunguzi wake hauna faida. Ni sawa anayetabiri kuwa huyu mama mwenye mimba atazaa mtoto.
Hili la kwanza nalo linaweza kumsaidia rais kuwasaidia wananchi waliowachagua watu hao kwenda bungeni kujisahihisha.
nadhani nchi inaweza kufanya moja kati ya mawili.
1) Speaker anaweza kuwaita ndani askali ambao watakuwa wameandaliwa ili mdari waingie bungeni na ngu0o za askari wa bunge. Wawatoe watu hao waliosimama kumzuia rais bila kujali kama watafikishiwa Muhimbili au popote katika kuwatoa nje. Baada ya hapo rais atakayekuwa ameombwa kutoka kidogo kwanza atarudi bungeni na kulihutubia. atakachogundua ni kuwa sura fulani zilizokuwemo hazimo.
2) Njia ya pili ni rais katika kelele hizo kutamka kuwa bunge limezinduliwa halafu akatoka nje
Huko nje akalihutubia taifa kupitia luninga zote na vituo vya radio.
Kuwaelezea watanzania umuhimu wa bunge na wajibu wake katika kuisaidia serikali kuwatumikia wananchi. na kuwa ameshindwa kuongea na wabunge wote kwa sababu watu fulani walimzuia kuongea na wabunge wazuri. baada ya hapo awaeleze aliyotaka kulieleza bunge. awape muda wananchi kuamua la kufanya kama wabunge hao wataendelea kufanya hivyo.
Sefrikali itaendelea kuandaa mipango na kuileta bungeni. Wananchi wataelewa mambo mengi moja ni umuhimu wa kuendelea kukipa wabun ge wengi chama tawala. na huo utakuwa mwisho wa vyama vya upinzani.
Tusubiri kuona kitakachotokea kama kitakuwa tofauti na nililosema.
Elisa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments