Ndugu zangu,
Mbunge anayedai leo kuwa milioni 90 hazitoshi kununua gari ya maana kufanyia kazi zake za kibunge, basi, wapiga kura waliomchagua mbunge kama huyo wajihesabu wamekula hasara, ama kwa lugha ya mitaani ' Imekula kwao'.
Mbunge kama huyo atakuwa ameonyesha mawili na kwa kwa wazi ; ama amekosa kabisa sifa ya ubunifu, kwamba hata pale wapiga kura wake wangemkabidhi milioni 50 aende Dar na arudi na gari la wagonjwa jimboni, mbunge kama huyo angewaangusha, au, ni mbunge aliyeingia bungeni kwa kujali zaidi maslahi yake binafsi kuliko kutambua hali halisi za wapiga kura wake. Inasikitisha.
Maggid,
Iringa.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye69pvOtT5XSEfVoD%3DL9rrLOfiq4DaKKYtQpg0L7uC_Kmg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments