Wakati tukijiandaa kukumbatiana na kuanza safari naomba nilete kibwagizo.
Mchakato wa uchaguzi huu mpaka hatua ya kutangaza, kupokea na kukataa matokeo kumenikumbusha Rais wa zamani wa Uganda Ndugu Idi Amin Dada.
Amin alikuwa mwanajeshi. Aliingia madarakani kwa nguvu za kijeshi. Alijitahidi kulijenga jeshi lake na akaliona ni mahili sana. Mtu ukitaka kufuatilia mtandaoni kuna YouYube moja anaonekana akiliongoza jeshi lake kufanya mazoezi ya kulipiga jeshi la Israel na kulirudisha eneo la Milima ya Golan na kuirudishia Misri. Baada ya zoezi hilo akalisifu jeshi lake na kusema yuko tayari kuipiga Israel.
Katika kipindi hicho alikuwa amepeleka wataalamu wa kijeshi nje kusoma. Kulikuwa na afisa mmoja wa jeshi alipelekwa nchi moja kujifunzia War Planning. Aliporudi kutoka masomoni kama kawaida ya Amin akahisi anaweza kumpindua. Akatuma majasusu wawili kumuua. Wauaji wale walipofika, jamaa akawakamata. Akawaambia kuwa wametumwa kumuua. Akawaambia hayuko tayari kukimbia nchi. Akawahakikishia usalama wao. Akawaambia atawaonyesha kuwa amesoma. Akachukua simu akapiga simu kikosi cha Mbarara. Amamwambia mkuu wa kikosi kuwa apelike jeshi Kampala kwa sababu kikosi kilichoko masaka kinaelekea kampala kumpindua Amin. Akampigia na mkuu wa kikosi cha masaka akimtaarifu uasi kutoka kikosi cha Mbarara. Vikosi hivi vikakutana Kampara kila kimoja kikijaribu kuzuia Rais kupinduliwa. Wakati hayo yakiendelea akajipiga risasi baada ya kuwaagiza wamweleze amin walichokiona.
Baadaye amin akaivamia Tanzania. Niliwahi kusoma katika kitabu kiitwacho 'The war in Uganda'. Amin alichezewa sana. Kuna wakati 'eti' jeshi letu lilinasa mawasiliano ya jeshi lake. Wanajeshi wetu wakawa wanaambizana: Waisrael mtapiga kwa ndege na warusi watapiga kwa mizinga.
Amin akalalamika kuwa anapigwa na majeshi ya Israel, Cuba, Urusi mpaka akawataja na wamarekani. Ulimwengu ukamshangaa. Nyerere akamdhihaki. Mimemkumbuka jamaa mmoja aliyepigwa ngumi akasema 'jamaa amenipiga kwa tofari'. Mgomvi wake akalazimika kuanza kujitetea; ''Jama ni si Tofari. Ni ngumi tu, tena ya mkono wa kushoto'.
Sijui lakini lakini nadhani lidudu hili 'CCM' ni kama halipigiki na mamluki baada ya kuua 'war planners'
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 Comments