[wanabidii] Sera ya elimu ya chuo kikuu kipi bora serikali kulipa ada au mtoto kupewa fedha na kulipa mwenyewe

Tuesday, October 20, 2015

Katika uchaguzi wa mwaka huu chadema wanasema elimu ya chuo kikuu itakuwa bure safi sana' je wanamaanisha na vyuo binafsi kama st.john na tumaini university na KIU?

CCM wao wanasema wataboresha upatikanaji wa fedha za ada kwa wakati kuondoa usumbufu kwa watoto, je ni kweli? Wataboresha nini ili usumbufu uliopo usijitokeze tena?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments