Niache hilo lakini ninayofuraha kuwa sasa watu wanaweza kuelezwa ukweli kuhusu mradi wa viwanja. Mradi huu nikiongea kwa fumbo nakumbuka kumsikia mkurugenzi aliyeuelewa mradi huu kuwa kama ukifanikiwa basi wananchi wa Bukoba mjini wataondokana na ushuru mdogomdogo maana ulipangwa kuisaidia manispaa ya Bukoba kuwa na vyanzo makini vya mapato.
Lakini si Bukoba mjini tu bali na wilaya nyingine zingefaidi kutokana na mradi huu.
Uhuni wa wanasiasa ukasimamisha mrasdi huu kwa sababu moja tu: ukifanikiwa utamjenga mtu mwingin e kisiasa na wengine watakosa. HUU ni ufisadi ambao mtu akiuelewa atakasirika kama nilivyokasirika au zaidi kidogo.
najua ninachokisema
Elisa Muhingo
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments