MUHIDIN BUNAYA SANYA - Mgombe udiwani Kata Kimbiji,Dar-es-Salaam
WANA KIMBIJI TUMCHAGUE DIWANI MUHIDINI BUNAYA SANYA KWA MASLAHI YA WAKAZI WA KIMBIJI,Tuache ushabiki wa vyama tu we wa kweli kwa kumchagua kijana wetu huyu Muhidini Bunaya Sanya mwenye kiu ya maendeleo,aliyesimama kidete kila wakati na kuhakikisha sisi wakazi wa Kimbiji tunanufahika kwa elimu ya watoto wetu,uchimbaji wa visima,anatupigania kuhakikisha hatunyanyaswi na wavamizi wenye uchu wa kupora maeneo yetu wenyeji,Muhidini Bunaya Sanya mzawa mwenye uchungu na kimbiji pia ni jembe letu la mpini wa chuma- Mchapa Kazi ,Sisi wana Kimbiji tuungane kwa pamoja siku 25 Oktoba 2015 kumpa kura zote za ndio mwenetu hawe Diwani wetu Muhidini Bunaya Sanya ,KIMBIJI Hoyeeee!
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments