[wanabidii] NINI MAANA ZA MATAMKO YA BULEMBO NA MBOWE?!

Sunday, September 20, 2015
Katika siku za karibuni kwenye taarifa za habari (TV) tumemuona kada wqa CCM Ndugu Bulembo akisema: jambo moja hatujalifanya na hatutalifanya ni moja-Hatutakabsgi ikulu.
Mimi nilimtafsiri kuwa CCM wana uhakika wa kushinda kwa hiyo hakuna mpango wa kukabidhi Ikulu.
Siku zilizofuata Mwneyekiti wa CHADEMA amesema Bulembo alisema CCM haitakabidji Ikulu hatakama itashindwa. Kama kweli Bulembo alisema neno hilo la ziada ambalo sikulisikia Mbowe ana hoja na ni muhimu NEC kutoa msimamo. Vinginevyo hakuna haja ya kuendelea na mchakato wa uchaguzi.

Leo katika taarifa za habari nimemsikia na kumuona Mheshimiwa Mbowe akisema:
Tatizo ni sheria za uchaguzi. Kwa mbunge na udiwani mtu usiporidhika unakwenda mahakamani lakini kwa urais matokeo yakishatangazwa mtu huwezi kupinga mahakamani. Sheria hii ni Kandamizi Siwezi kusema zaid kwa sasa ila nasema SHERIA HII HAITATEKELEZEKA.

Ninapemda kusema hivi:
1) kama maneno niliyoyasikia Bulembo akisema ndiyo hayo na anayosema mbowe kuwa Bulembo alisema hayapo ila ni tafsiri yake basi Bulembo hana la kujibu. Kinyume chake Bulembo ajitakase tena hadharani.\
2) Maneno niliyoyasikia Mbowe akisema na kwa kuwa nimeyasikia akisema, kama hatasema ITV ilichakachua maneno hayo basi maneno hayo ya Mbowe ni hatari hatari hatari kubwa. Ni kweli kabisa kuwa sheria hiyo ni Kandamizi. \Imekuwepo na mpaka tunaanza mchakato wa uchaguzi ilikuwepo. Imetumika siku nyingi wala haitatumika 2015 kwa mara ya kwanza. kama mbowe hana msukumo wa mabwana wengine tusiowaona na kuwajua kutoka nje yake na labda nje ya Taifa hili basi anastahili kujitokeza na kujitakasa ili tuendelee kumuamini.
a) Siku zakaribuni kumetokea habari kuwa CHADEMA imepeleka vijana 3000 kujifunza mafunzo ya kijeshi. Vijana 3000 ni wengi mno kutikisa usalama wa taifa hata vyombo vyetu vya usalama vikiwashinda. Tanzania tuijuayo?????

b) Huko Mbeya tulishuhudia gari moja limekaa kijsehi na kwakweli mtu ungeweza kuhisi ni makomandoo wamo kumbe ni walinzi wa mgombea.

c) Wakati fulani mgombea wa CDM akiwa maezuiwa na polisi na msafara wake kwenda msibani alisema Ninyi Polisi mtapelekwa ICC. Kesho yake Afisa wa ICC akatoa tamko kuhusu Tanzania. Mtu mwenye akili ni rahisi kufanya hesabu hii kuwa 1+1=3. Anayeishia anapoona atabisha kuwa ni mbili (1+1=2). Ni kwa sababu haoni. Nadhani mimi naona. nadhani watu wengi tunaona. nadhani pia na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinaona. Kuna wakati mtikila alivuma sana. lakini kila mtu alijua hawezi kushinda uchaguzi. lakini kama watu wangeikasirikia serikali iliyopo kiasi cha kuamua potelea pote wakampa Mtikila. hivyi mfumo wetu usiohusiana na siasa ila umoja wa taifa letu wangeacha mtikila akaapishwa???? mwalimu Nyerere anasema mahala fulani '...... wamarekani ni watu wa ajabu. walimpiga risasi rais wao huyo'.Ni nani waliompiga risasi???
Mifumo mingi ya utawala iko duniani kote. kuna ya kidemokrasia. kuna ya kiimla lakini yote huishia kuhakikisha taifa linabaki. Kama kuna mtu anasema 'Sheria haitatekelezeka' Tutakuwa watu wa ajabu kumkabidhi dhamana hata ya ubunge.
Elisa Muhingo

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments