[wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Hakuna Chozi Linaloweza Kuzima Moto Uliowashwa Na Mpumbavu..

Sunday, September 13, 2015


Ndugu zangu,

Hakuna namna nyingine ya kujua isipokuwa ni kwa kujifunza. Ni heri ya mjinga kuliko mpumbavu, maana, mjinga katika kutokujua kwake anaweza kujifunza akajua.

Lakini, mpumbavu, katika upumbavu wake anaweza akasababisha jambo lenye kuleta madhara huku akijua kuwa madhara yaweza kutokea.

Na katika dunia hii, hakuna chozi linaloweza kuzima moto uliowashwa na mpumbavu.

Wahenga walisema; majuto ni mjukuu.

Ni Neno Fupi La Usiku. ( Jana Jymamosi(

Maggid, 
Iringa.

http://mjengwablog.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments