[wanabidii] Diaspora , EVARIST CHAHALI: MEMO TO THE OLD MAN, #LOWASSA'S RIGHT-HAND MAN

Tuesday, September 29, 2015

Diaspora , EVARIST CHAHALI: MEMO TO THE OLD MAN, #LOWASSA'S RIGHT-HAND MAN

Kwenye ukurasa wake wa tweeter, ameandika hivi:

"Kitu kimoja nilichojifunza kwa hawa wazungu ni umuhimu wa LEGACY. Mtu akipewa fursa kuutumikia umma au taasisi anajibidisha mno ili siku akitoka kwenye wadhifa huo akumbukwe kwa mema, na wakati huohuo akitengeneza mazingira mazuri kwa vizazi vyake vijavyo. Ninasononeka kuona mzee mmoja aliyeitumikia taasisi moja nyeti kwa uadilifu na kuacha jina kubwa, leo amekuwa mtumwa wa fedha( licha ya marupurupu lukuki aliyopewa baada ya kustaafu). Kwa tunaomfahamu na kumheshimu mzee huyo, siyo kwamba anachafua LEGACY yake, he looks like a joke. Utu ni bora kuliko vitu(fedha, n.k). I hope Lowassa losses na huyo mzee losses heshima alojijengea"

Huyu mzee anaeongelewa hapa na ambaye aliwahi kuitumikia taasisi nyeti ni nani na taasisi hiyo ni ipi jamani?

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments