[wanabidii] AMANI ITAWALE KOTE

Thursday, September 10, 2015
Watanzania tuungane katika kukemea kampeni kwenye nyumba za ibada,maana huu utakuwa mpasuko wa dini,kabila na rangi,tujihadhar sana tuombe amani,mshikamano,pia kujihadhar na makund ya vijana yasiyoeleweka ambayo yanakuwa na mazungumzo ya siasa kumbe ni mkakati wa kuanzisha vurugu,tuwe karibu na jeshi la polis na tuwe rafik wa mazingira yote katika kulinusuru taifa kwa kipindi hiki kigum cha kutafuta kiongoz atakayevusha kiu ya maendeleo.

Hakimu Sadock
S.L.P 7408
DSM Tanzania
0756626526

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments