[wanabidii] Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir ametishia kuwaua Waandishi wa Habari

Tuesday, August 18, 2015
Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir ametishia kuwaua Waandishi wa Habari watakaoandika Habari ambazo ni kinyume na maslahi ya Taifa.
-Takribani Waandishi wa Habari watano wamepoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha kwa mwaka 2015 tu nchini Sudani ya Kusini.

Zaidi, Soma => http://goo.gl/qSlbYX

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments