Dhana ya baadhi ya sisi Watazania ya kwamba kuondoa Mfumo wa utawala wa nchi ni lazima kubadilisha chama ili kuleta mabadiliko ya Maendeleo ya Kiuchumi na maisha bora kwa kila mwanachi siyo sahihi. Dhana hii imekuwa ikitolewa mfano wa Kenya na kwamba imeondoa tabaka la uongozi wa KANU.
Kiuhalisia Kenya haijawahi kubadilisha mfumo wa Utawala ulio nje ya KANU. MWAI KIBAKI amekuwa ndani ya KANU tangu Kenya ilipopata uhuru mpaka mwaka 2002 alipogombea Urais kupitia National Alliance Rainbon Coalition NARC.

Kabla ya hapo alikuwa Makamu wa Rais wa serikali ya KANU ya Rais mstaafu DANIEL ARAP MOI. Rais mstaafu MWAI KIBAKI alidumu na NARC hadi 2005 ambapo alipokuwa akigombea kiti hichocha Urais 2007 alipolazimika kupitia chama cha PNU( Party of National Unity).
Pia ikumbukwe kwamba wakati MWAI KIBAKI akiwa Rais UHURU KENYATTA alikuwa mmoja wa viongozi ndani ya serikali hiyo. Aidha viongozi wengine tofauti tofauti ambao ni KANU kiundakindaki walikuwemo RAILA ODINGA . ODINGA ambaye hajawahi kuwa KANU.
Mwaka 2013 UHURU KENYATTA alishinda uchaguzi kupitia chama cha The National Alliance (TNA). Hivyo mlolongo huu wa uongozi hauonyeshi moja kwa moja ya kwamba mfumo huo wa uongozi ulibadilika kutoka ule wa KANU kwenda kwa ambao walikuwa hawajapitia KANU.

Hivi sasa inaonyesha dhahiri kwamba KANU katika muonekano wa Kimataifa imerejea rasmi .Soma daily Nation Toleo No18384 Pg la tarehe 11/08/2015.Uhuru's Political Party Catches up with him as Uganda army band plays him "KANU YAJENGA NCHI".
Katika serikali hizo za mpito wakenya hawakuwahi kushawishika kumpata Rais aliye nje ya safu ya KANU pamoja na kubadilisha badilisha vyama na msukumo wa kutoka nje ya nchi bado walishikamana na kuwa wamoja katika kupata safu za viongozi.
RAILA ODINGA ambaye ni mpinzani wa kweli pale alipoona viongozi ambao asili yao ni wa KANU wamefanya vizuri alisimamia mazuri hayo kama raia wa KENYA haijawahi kusikika fununu yoyote wala uvumi wa kwamba alitoa fedha interms of billions ili kuupata uongozi wa kulazimisha,KAMA AFANYAVYO EDWAR LOWASA HIVI SASA HAPA TANZANIA.
Ninachojifunza ni kwa,mba viongozi bora mpaka sasa, hivi ni wa kutoka chama tawala ingawaje pia wapo kwenye vyama vingine vya siasa .Lakini kiongozi yeyote aliyeonolewa na chama husika kwa kukiuka maadili ya chama hicho yaliyo wazi alafu akakimbilia chama kingine kwa lengo la kutaka kupata uongozi siyo kama mlezi wa chama hicho huyo ni MROHO WA MADARAKA.

Nasema hivyo kwa sababu misingi iliyo muondoa yeye alikuwa miongoni mwa watu walio iandaa tena tena akiwa kwenye nafasi ya juu na Mkongwe.
La msingi la kujifunza kutoka kwa wenzetu KENYA ni kuchukia RUSHWA kutumika kama njia ya kutupelekea kiongozi IKULU Pia atapata nini mwendesha bodaboda anayepewa mafuta na token ya Tsh elfu kumi na kuendelea , Je akipata ajali atampa pesa za matibabu ? Mimi nisiye kuwa na elimu ajira ninayoambiwa kuwa nitaipata katika ulimwengu huu wa wasomi waliojaa hadi kijijini kwangu kule Mbwinde, ajira hii nitaipataje?

Kwa wenzangu waliosoma ni dhahiri kwamba tulipofika kwa sasa ni mahali pa kudanganyana cha msingi tuungane pamoja kwa nguvu zetu zote kukemea wazi wazi viongozi wanaotumia RUSHWA ya fedha nyingi kama barabara ya kwenda IKULU. Pia tuwachukie wafadhili wanaotoa michango ya hali na mali Mabilion ya pesa kuhakikisha mlengwa wao anaingia ikulu.
Hawa ndiyo watakaotufanya tuishe maisha ya SURVIVAL FOR FITEST, No Fit no Survive . Turudi tujitazame ili tugundue wapi tulipojikwaa tuparekebishe ili tuweze kufufua na kuendeleza nyayo za MWALIMU JULIUS K NYERERE.
JOHN POMBE MAGUFULI atatufaa kwani hakutumia RUSHWA hata senti moja , let's support him ,tuachane na dhana ya vyama ambavyo sasa vinatupotosha kuanza kuwakumbatia hata wenye miiba kwa sababu tu ya lita 5 tu za mafuta ya bodaboda na usafiri wa kututoa mikoani kuja Dar Es Salaam kumshangilia . Baadhi ya mataifa ya nje yaliyo na nia njema yamegundua kuwa Kenya ilipotea na vivyo hivyo ndiyo yanavyotuona sisi watanzania tunavyopotea .
DR WILLIBROD SLAA na Prof. IBRAHIMU LIPUMBA ni wa kwanza kugundua kwamba siasa za vyama vya siasa ni za kinafiki " Hongera sana kwao hawa wazee na Mungu awape uzima zaidi ili waendelee kuwa walezi na mfano wa kuigwa".

Mahali penye udanganyifu panajionyesha waziwazi toka lini mtu kama LOWASA akupatie fedha hivihivi tu, kwani wewe ni mjomba wako!!!! Mtu hawezi kununua wengine kama yeye hajanunuliwa kwanza!!!!! Na atakapopata anachokitaka hatorudi tana kwako bali atalipa fedha zake zote na faida mara 100 kwa fedha yako wewe na mimi.
Pindi mambo yakiharibika hupanda ndege na kukimbilia ULAYa na kutuacha ndugu tukiuana kwa kisasi ambacho mimi na wewe hatukijui wala hatuna.
Juhudi zako binafsi ndizo zitakazoboresha maisha yako wewew binafsi,kikundi chenu , kijiji chenu , wilaya yenu , mkoa wenu, na hatimaye Taifa letu kwa ujumla.
Juhudi zako binafsi ndizo zitakazoboresha maisha yako wewew binafsi,kikundi chenu , kijiji chenu , wilaya yenu , mkoa wenu, na hatimaye Taifa letu kwa ujumla.
Usikubali kutumiwa na wanasiasa wasakatonge !Waanze kwanza wao na familia zao kuandamana na kubeba mabango ya wazazi wao.
TUNAHITAJI MABADILIKO CHANYA YA KIFIKRA KWA KUWAKATAA WANAOTAKA KUINGIA IKULU KWA PESA, TUSIJARIBU KUONJA SUMU, SUMU HAIONJWI INAUA
0 Comments