Jipatie Tsh 2,000 hadi Tsh 40,000 kwa Video kupitia Kisakuzi.com
Kisakuzi.com ni mtandao unaoonesha video za matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Mtandao huu, unanunua video na kumuwezesha mtazamaji kujiongezea kipato chake. Kutokana na ubora au tukio la video yako, unaweza kupata kuanzia shilingi 2,000 hadi 40,000 kwa video moja.

Tunapokea video ambazo unazimiliki wewe, umeipiga kwa kutumia simu yako au kamera yako.
Nirahisi. Upatapo video kama hiyo bila kujali ufupi wake unaweza kuituma kwenda Je, wajua kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta yako unaweza kujiongezea hela za ziada. Kutokana na ubora au tukio la video yako, unaweza kupata kuanzia shilingi 2,000 hadi 40,000 kwa video moja.
Tunapokea videos ambazo unazimiliki wewe, umeipiga kwa kutumia simu au kamera yako mwenyewe.
Nirahisi upatapo video kama hiyo bila kujali ufupi wake unaweza kututumia kwa njia zifuatazo:

Whatsapp namba +255 714 227 955

E-mail: kisakuzivideo@gmail.com

au pia unaweza uka- upload mwenyewe kwenye tovuti yetu ya www.kisakuzi.com

Mara baada ya video yako inapokubalika na kutumika kwenye tovuti yetu ya www.kisakuzi.com tutakulipa fedha yako ndani ya masaa 24.
Changamkia fursa kwa kutumia simu yako ya mkononi na uweze kujiongezea kipato chako katika maisha. Kisakuzi inakuwezesha wewe kuwa boss wako mwenyewe. Pale utakapoona kituko au habari yenye mvuto changamka na urekodi video na tutumie.
Video za kuchekesha, vituko, kusikitisha, kufurahisha na za kampeni za uchaguzi zinapendwa zaidi na watazamaji wetu.

Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments