[wanabidii] KAMPEINI ZA CCO: Mkapa na Kikwete wataharibu-Wapumzishwe

Tuesday, August 25, 2015
Mchakato wa kaampein za uchaguzi mkuu zimeanza rasmi.
Wagombea urais kupitia UKAWA wamezindua kwa namna yake kwa kuwatembelea wananchi wa hali ya chini na kujionea adha za usafiri wanazokabiliana nazo. Walikuwa wanazisikia. Wao sio kama magufuli. magufuli amezoea kukutana nao katika shida zao

CCM wameanza kwa mkutano mkubwa pale Jangwani.
Naweza kusema wote wameanza vizuri.

Kwa upande wa CCM ilikuwa haki kuwatumia viondozi wake wote waandamizi na wastaafu.
Mwenyekiti wa CCM rais Kikwete amesema CCM imeamua kumsimamisha mgombea ambaye hawatalazimika kumtetea na kujitetea wao yaani hawahitaji kupoteza muda kumsafisha na kujibu maswali bali wao wana kazi ya kutangaza ilani. Nilimuelewa.

Nilimsikia Rais wa awamu ya pili Mzee Mwinyi. maneno aliyotumia hayakuacha maswali.

Nimemsikia Rais wa awamu ya tatu, Msee Mkapa. maneno aliyotumia yanaacha maswali. CCM imeishaanza kutumia muda kueleza Mkapa alimaanisha hiki sio hiki. Katika uzinduzi wa UKAWA tayari wameyatumia maneno ya Mkapa. Duni amewaambia waliomzunguka kuwa wamekuja kuwatembelea marofa na wapumbavu wenzao. Mimi simshangai Mkapa. Nikisema namshangaa mtu anaweza kuja na makala zangu za 2005 nilizowahi kuandika kumhusu. Ninaamini Mkapa akikaribishwa tena atatoa mapya mengine. nani kasahau sakata la mkapa na familia ya marehemu baba wa taifa kuhusu Vincent Nyerere? ndiye mkapa huyu. CCM inachoweza kufanya ni kumficha kama baadhi ya familia zinavyoficha watoto wenye ulemavu. (Sijatukana)

Mwingine asiyetakiwa kwenye majukwaa ya kampeni za CCM ni rais Kikwete. Tukianzia kwa hotuba ya Mgombea magufuli ameonyesha kuwa kuna makosa yaliyofanywa na serikali ya Kikwete ambayo anakuja kuyasahihisha.
Ni kweli CCM ili iweze kushinda ushindi wenye margin nzuri, lazima kuonyesha masahihisho makubwa ya uharibifu uliofanywa na serikali ya JK.
Lakini la kimfungia JK kutoshiriki kampeni za CCM ni matamshi yake kuhusi matakwa ya watanzania.
Nasubiri kuisoma ilani ya CCM kama ambavyo nitazisoma ilani zote za vyama vingine. Nataka kujua kama iko kimya kuhusu KATIBA ya wananchi.
Kitendo cha Kikwete kumhusisha mgombea mwenza na ''mafanikio'' ya bunge la katiba kinaonyesha Kikwete hajui wananchi walitaka nini kwenye katiba.
Kwa kweli kitendo cha JK kutojua wananchi walitaka nini namwachia Lokomai kumalizia.
Katika mazingira hayo Jk ni sumu kwa mafanikio ya CCM. Kama ninavyofikiri kwa Mzee Mkapa ndivyo ninavyowaza na kwa JK.
Wametimiza wajibu wao. wasikaribishwe tena. Kwa walioona jana huko Rukwa na katavi na Kilimanjaro magufuli anajitosheleza. mgombea mwenza atajitosheleza.

Elisa
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments