Mwanaume lazima ajue namna ya kulia kimoyomoyo yaani unazuia machozi yasitiririke na kuleta uchuro kwa watu..mara zote yampasa kuongea kwa hadhari kubwa sana hasa jambo kubwa la kumpoteza mpiganaji ktk wakati muhimu kuliko yote.
Nyuso za viongozi wetu zimetuonyesha mengi yaliyo moyoni mwao. Mwenye clip ya kikao cha leo aweke watu waone watafsiri..hakika wanajuta kuliko kawaida. .jambo kubwa ni Je ni rahisi kuacha mbachao kwa msala upitao? Ndege wanaohama kwa msimu hawana makazi ya kudumu..
0 Comments