katika jamii yoyote utakuta wazee wa busara. Wazee ambao kukitokea jambo wanaitwa na kuulizwa njia.
Ninasikia wazee wa Chadema. hawako active katika politics lakini ni washauri na wakati mwingi ushauri wao ni wa hekima, una suluhu na unaheshimiwa.
Siku zote niliamini Mzee Kingunge ni mmoja wao katika chama chake. Ana historia ndefu katika siasa za Tanzania na niliwahi kutamani wazee kama hao wakatumika nje ya vyama vyao kutoa ushauri hata wa mahusiani ya vyama. hatuoni vyama vyetu vikishiriki mambo ya kitaifa kama watanzania. mtu ungetegemea siku ja uhuru viongozi wetu kukaa pamoja na kushauri mambo haya.
Iliniletea taabu kichwani mwangu namna ya kumhesabu mzee kingunge. Kujihusisha na ushabiki wa namna alivyofanya mimi simuelewi. sijui alikuwa anatafuta nini? Uwaziri? Ubunge? fadhila au nini? yeye alistahili kuwa mmoja wa watu watakaokaa pamoja na kupima upepo CCM imefika hapa nani kati ya hawa anayeweza kukivusha chama. lakini kushabikia mtu na kutoa matamshi kama aliyoyatoa na halafu mtu mwenyewe anayemshabikia anajulikana hata kwa mtoto mdogo. nataka kingunge anayemjua na alilielewa alilolifanya atweleze.
Humu ndani kuna watu wengi walimshabikia Lowasa. watu walipojaribu kuwazomea tumekataa na kukubaliana kuwa kilichotokea tumekichangia wote.
lakini mimi naona siwezi kumuunganisha kingunge na amnest hiyo.
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 Comments