Jee wewe ni mmiliki wa chuo au mfanya biashara unayemiliki kampuni? Jee ungependa kutoa mafunzo kwa email au unataka kuanzisha jarida (Newsletter) kwenye mtandao wa internet ambalo litasaidia kupata wateja wapya na kumuwezesha kuwasiliana na wateja hao. Kampuni ya CPM Business Consultants inatengeneza tovuti za kutoa mafunzo kwa njia ya email au majarida. Walengwa wa tovuti za kutoa mafunzo ni Vyuo na shule ambazo zitapenda kutoa mafunzo kwa email. Pia kwa makampuni ambayo yanataka kutengeneza tovuti za majarida (newsletter) ambapo zitasaidia kuwasiliana na wateja wao.
CPM Business Consultants ni wazoefu wa kutengeneza tovuti kama hizi mfano angalia Tovuti yetu ya kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa email hii hapa; http://tinyurl.com/mshauriwabiashara
Gharama za kutengeneza tovuti hizi ni Tsh. 150,000. Kwa wanaohitaji kutengenezewa tovuti hizi wapige simu namba 0755394701
CHARLES NAZI
MKURUGENZI MTENDAJI
CPM BUSINESS CONSULTANTS
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments