[wanabidii] BREAKING NEWS

Monday, July 06, 2015
 
‪HABARIZILIZOTUFIKIA: Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Bazil Mramba,na aliyekuwa waziri wa zamani wa madini na nishati,Daniel Yona baada ya kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7.Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.

Share this :

Related Posts

0 Comments