[wanabidii] NAFASI ZA KAZI KWA MAAFISA MASOKO

Monday, June 08, 2015

NAFASI ZA KAZI KWA MAAFISA MASOKO
MAAFISA MASOKO WAANDAMIZI 500 NA MAAFISA MASOKO 500 WANAHITAJIKA
Kampuni YA CPM Business Consultants inayojihusisha na kutoa ushauri wa biashara yenye makao makuu yake Kimara Baruti Dar es salaam, inazo nafasi za kazi kama ifuatavyo;
Maafisa masoko waandamizi 500.
Kampuni ya CPM Business Consultants inataka kuajiri Maafisa masoko waandamizi wenye ujuzi na wachapakazi. Bidhaa zinazouzwa na huduma zinazotolewa na kampuni ni pamoja na kitabu cha mbinu za biashara, Ushauri wa biashara, semina za ujasiriamali, kuandaa michanganuo,fursa za kilimo biashara na ufugaji wa kuku na samaki, semina za kujiandaa kustaafu, uuzaji wa majengo na upangishaji wa majengo, real estate na utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali.
Kazi zake;
1.Kuandaa mikakati ya mauzo na malengo ya mauzo kwa kampuni
2. Kutafuta masoko na kuuza bidhaa za kampuni
3. Kutangaza bidhaa za kampuni na kutafuta wateja.
3. Kusimamia na kuongoza maafisa masoko walio chini yake.
4. Kuandaa semina.
Sifa za muombaji;
Awe na shahada ya Biashara mchepuo wa masoko (Bachelor of Commerce- Marketing) 
Siyo lazima kuwa na uzoefu kazini lakini akiwa na uzoefu wa kufanya kazi hizi kwa muda wa kuanzia mwaka mmoja na zaidi atafaa zaidi.
Mshahara;
Mwombaji atakayepata ajira atalipwa asilimia 15% ya mauzo atakayofanya kwa mwezi.

Maafisa masoko 500.
Kampuni ya CPM Business Consultants inataka kuajiri Maafisa masoko wenye ujuzi na wachapakazi. Bidhaa zinazouzwa na huduma zinazotolewa na kampuni ni pamoja na kitabu cha mbinu za biashara, Ushauri wa biashara, semina za ujasiriamali, kuandaa michanganuo,fursa za kilimo biashara na ufugaji wa kuku na samaki, semina za kujiandaa kustaafu, uuzaji wa majengo na upangishaji wa majengo, real estate na utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali.
Kazi zake;
1. Kutafuta masoko na kuuza bidhaa za kampuni
2. Kutangaza bidhaa za kampuni na kutafuta wateja.
3. Kuandaa semina

.Sifa za muombaji;
Awe na elimu ya Kidato cha nne au kidato cha sita, mwenye kujituma ambaye anaweza kuuza .
Akiwa na cheti au shahada ya Biashara mchepuo wa masoko atatufaa zaidi. 
Siyo lazima awe na uzoefu katika kazi lakini kama ana uzoefu wa kufanya kazi katika makampuni ya usambazaji wa bidhaa atatufaa zaidi.
Siyo lazima kuwa na uzoefu kazini lakini akiwa na uzoefu wa kufanya kazi hizi kwa muda wa kuanzia mwaka mmoja na zaidi atafaa zaidi.
Mshahara;
Mwombaji atakayepata ajira atalipwa asilimia 10% ya mauzo atakayofanya kwa mwezi.

Kwa maelezo zaidi piga simu 0784394701 au tuma maombi kwa email; cnazi2002@yahoo.com 
CHARLES NAZI
MKURUGENZI MTENDAJI CPM BUSINESS CONSULTANTS

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments